UJUMBE HUU WA RAIS MSTAAFU JAKAYA KIKWETE WENYE MANENO 7 WAUMIZA VICHWA VYA WATU - Siasa News

Breaking

Siasa ni Maisha

Friday, 8 December 2017

UJUMBE HUU WA RAIS MSTAAFU JAKAYA KIKWETE WENYE MANENO 7 WAUMIZA VICHWA VYA WATU




Dar es Salaam. Mkuu wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM) Jakaya Kikwete amemwambia makamu mkuu mpya wa chuo hicho Profesa William Anangisye kuwa “Akili za kuambiwa achanganye na za kwake” hivyo asisikilize maneno ya watu na badala yake afanye kazi na wote.
Kikwete alimsisitizia Profesa Anangisye kuwa hana haja ya kutengeneza maadui katika majukumu yake hayo mapya na ili afanikiwe ni muhimu akafanya kazi na watu wote. “Huna sababu ya kutengeneza maadui, fanya kazi na watu wote na umchukilie kila mmoja jinsi alivyo halafu baada ya hapo utajua nani ni nani na sio kusikiliza maneno ya watu, ndiyo maana unaambiwa akili za kuambiwa changanya na zako,

No comments:

Post a Comment

Note: only a member of this blog may post a comment.