JESHI LA POLISI LA WAONYA WAANDISHI WA HABARI - Siasa News

Breaking

Siasa ni Maisha

Friday, 8 December 2017

JESHI LA POLISI LA WAONYA WAANDISHI WA HABARI

Habari mpya:
Jeshi la Polisi lawaonya waandishi wa Habari wanaotaka kuandamana leo kushinikiza kutafutwa kwa mwandishi wa habari Azory Gwanda wa gazeti la Mwananchi aliyepotea kwa zaidi ya Siku 18 Sasa,
Kwani Kuandamana kuna tatizo gani! Ni Uhuru wa kila mtu kisheria na polisi kazi yake kuwalinda na ujumbe wao ufike,
Kuna hofu gani!hapo juu ya maandamano haya Tanzania tumefika wapi!
Image may contain: 1 person

No comments:

Post a Comment

Note: only a member of this blog may post a comment.