
Ujenzi wa soko la kimataifa la OTC Lilambo kwa ajili ya kuuzia mazao ya wakulima katika wilaya ya Songea mkoani Ruvuma linalojengwa kupitia programu ya miundombinu ya Masoko, uongezaji thamani na huduma za kifedha vijijini (MIVARAF) umefikia asilimia 90 ambapo msimamizi wa MIVARAF wilaya ya Songea, Bw. Damian Luena amesema hadi kufikia mwishoni mwa Novemba mwaka huu mkandarasi atakabidhi soko hilo tayari kwa matumizi.
No comments:
Post a Comment
Note: only a member of this blog may post a comment.