SERIKALI KUJENGA DARAJA WILAYANI TUNDURU MPAKANI MWA TANZANIA NA MALAWI - Siasa News

Breaking

Siasa ni Maisha

Monday, 6 November 2017

SERIKALI KUJENGA DARAJA WILAYANI TUNDURU MPAKANI MWA TANZANIA NA MALAWI


Image may contain: one or more people, people standing, outdoor and nature
Viongozi wa Tanzania na Msumbiji wamekagua eneo litakakojengwa daraja kwa siku za usoni mpakani mwa Tanzania na msumbiji katika mto Ruvuma katika kata ya Lukumbule wilayani Tunduru mkoani Ruvuma ili kukoa maisha ya wananchi wanaohatarisha maisha yao kwa kuliwa na mamba wanapovuka mto Ruvuma kwa kutumia mitumbwi.
Baadhi ya viongozi wa Msumbiji waliotembelea Tanzania ni mkuu wa wilaya ya Mikula nchini Msumbiji Bw. Armindo Bindo,mkuu wa polisi wa wilaya ya Mikula Domingos Chizoma na mkuu wa pori la niasa nchini Msumbiji Bw. Baldeu Chande ambapo Mwenyeji wa ugeni huo mkuu wa wilaya ya Tunduru Bw.Juma Homera amesema wamekagua eneo litakakojengwa daraja.

No comments:

Post a Comment

Note: only a member of this blog may post a comment.