MAGUFULI AMUONYA VIKALI MKURUGENZI WA BUKOBA NA MKUU WA WILAYA - Siasa News

Breaking

Siasa ni Maisha

Monday, 6 November 2017

MAGUFULI AMUONYA VIKALI MKURUGENZI WA BUKOBA NA MKUU WA WILAYA



Image may contain: one or more people, people standing, sky, cloud and outdoor
Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. John Pombe Magufuli amemuonya vikali mkurugenzi wa halmashauri ya Bukoba vijijini na mkuu wa wilaya hiyo kwa kuendelea kukusanya ushuru wa mazao ya wakulima katika masoko ya wilaya ya Bukoba vijijini kinyume na sheria iliyofuta tozo zaidi ya 17 za mazao ya kilimo nchini huku wakulima wakiacha kutozwa ushuru kwa chini ya uzito wa tani moja.
Akiongea na wananchi wa Kemondo waliozuia msafara wake na mabango ya ujumbe wa kero mbalimbali zikiwemo za ushuru wa mazao wakiongozwa na mbunge wao Bw. Jason Rweikiza,Rais Magufuli amesema kuwa hatamvumilia kiongozi yeyote anayeshindwa kusimamia sheria na maagizo yake.











No comments:

Post a Comment

Note: only a member of this blog may post a comment.