Zitto Kabwe akamatwa na kupelekwa kituo cha Polisi Chang'ombe - Siasa News

Breaking

Siasa ni Maisha

Monday, 30 October 2017

Zitto Kabwe akamatwa na kupelekwa kituo cha Polisi Chang'ombe

Kiongozi wa Chama cha ACT Wazalendo na Mbunge wa Kigoma Mjini Mh. Zitto Kabwe, amekamatwa na Jeshi la Polisi asubuhi hii akiwa nyumbani kwake jijini Dar es salaam na amepelekwa kituo cha Polisi Chang'ombe.

Ni kufuatia hutoba yake aliyoitoa hivi karibuni katika Kata ya Kijichi.

Hii ni mara ya pili kwa mbunge huyo kukamatwa ndani ya siku 40. Mara ya mwisho alikamatiwa Uwanja wa Ndege wa Dar > DAR: Zitto Kabwe(Mb) akamatwa na Polisi akiwa Uwanja wa Ndege akitokea Kigoma

No comments:

Post a Comment

Note: only a member of this blog may post a comment.