KATIBU WA ITIKADI NA UENEZI WA CCM HAMPHREY POLEPOLE ATOA NENO KUHUSIANA NA LAZARO NYARANDU - Siasa News

Breaking

Siasa ni Maisha

Tuesday, 31 October 2017

KATIBU WA ITIKADI NA UENEZI WA CCM HAMPHREY POLEPOLE ATOA NENO KUHUSIANA NA LAZARO NYARANDU

KATIBU WA ITIKADI NA UENEZI WA CCM HAMPHREY POLEPOLE ATOA NENO KUHUSIANA NA LAZARO NYARANDU

Katika historia wamepata kuondoka watu ambao wameitwa vizito, vigogo kwenye chama cha mapinduzi na huyu aliyeondoka ni mwanachama wa kawaida wa chama cha mapinduzi kwahiyo ni jambo la kawaida, ni afya kwa demokrasia"- Katibu wa itikadi na Uenezi wa CCM, Humphrey Polepole kuhusu Lazaro Nyalandu kujivua uanachama wa CCM.
Image may contain: 1 person, sitting

No comments:

Post a Comment

Note: only a member of this blog may post a comment.