Milango iko wazi kwako @LazaroNyalandu kujiunga na CHADEMA. Masuala uliyoyaibua yamekuwa ajenda yetu kuu kwa muda mrefu.
— Freeman Mbowe (@freemanmbowetz) October 30, 2017
Mwenyekiti wa chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Freeman Mbowe ametumia mtandao wa Twitter kumjibu aliyekuwa Mbunge wa jimbo la Singida Kaskazini Lazaro Nyalandu aliyetangaza kujiuzuru na Kuomba wanachama wa CHADEMA wampokee kuwa milango ya kujiunga CHADEMA ipo wazi kwani mambo aliyoyasema yamekuwa ajenda kuu ya CHADEMA kwa muda mrefu.
No comments:
Post a Comment
Note: only a member of this blog may post a comment.