NYALANDU KARIBU CHADEMA:
Na; *Peter Msigwa*
Leo Umechukua Uamuzi Sahihi Kuong'oka CCM Na Umetukosha Watanzania Na Wapendeka Haki Wote Duniani
1. Nyalandu Umethibitisha Kwamba CCM Sio Chama Cha Siasa Tena. CCM Iko Chini Ya Miguu Ya Dola Na Haina Uwezo Wa Kuikosoa Serikali Tena .
2. CCM Imepoteza Mwelekeo Wake . Imeshindwa Kusimamia Uchumi , Siasa Na Uongozi wa Nchi .
3. Misingi Ya Nchi Yetu Imebomolewa Chini Ya Utawala Wa CCM Na Umeitisha Mwito Wa Kila Mmoja Wetu Kuijenga Upya Misingi Ya Nchi Yetu .
4. Tanzania Imekithiri Ukiukwaji Wa Haki Za Binadamu , Dhulma Na Kutekwa Na Serikali Mhimili Wa Bunge pamoja Mahakama.
5. Watanzania Wapate Fursa Ya Kuchagua Itikadi Wanayoona Inafaa Na Sio Kutishiwa Na Kulazimishwa.
6. Mabadiliko Ya Kisiasa Na Kiuchumi Nchini Yatapatikana Kwa Mfumo Wa Demokrasia Na Uhuru Wa Mawazo.
7. Mwisho Umeonesha Umuhimu Wa Kupata Katiba Mpya Kwa Sasa Katika Nchi Yetu .
*KUISHI NJE YA CCM INAWEZEKANA*
No comments:
Post a Comment
Note: only a member of this blog may post a comment.