
Zitto Kabwe ameandika Haya Kupitia Ukurasa wake wa Facebook:
"Mwandishi wa Gazeti la Mwananchi Azory Gwanda amepotea siku 10 sasa. Alikuwa anafanya habari ya uchunguzi kuhusu suala nyeti sana. Nataraji Gazeti lake litatueleza siku za usoni" Zitto Kabwe

No comments:
Post a Comment
Note: only a member of this blog may post a comment.