ALIYEWAHI KUWA NAIBU KATIBU MKUU CUF NA MGOMBEA UBUNGE JIMBO LA SEGEREA JULIUS MTATIRO ATANGAZA RASMI KUHAMIA CCM - Siasa News

Breaking

Siasa ni Maisha

Monday, 4 December 2017

ALIYEWAHI KUWA NAIBU KATIBU MKUU CUF NA MGOMBEA UBUNGE JIMBO LA SEGEREA JULIUS MTATIRO ATANGAZA RASMI KUHAMIA CCM

Image result for julius mtatiro

Breaking Newsssss….
Aliyewahi kuwa naibu Katibu mkuu CUF na mgombea ubunge jimbo LA Segerea JULIUS MTATIRO atangaza rasimi kuhamia CCM akidai Maalim Seifu na LOWASA wameua agenda za upinzani.
Kwa Mujibu wa taarifa Zilizonukuliwa Kutoka kwa watu wa Karibu wa Julius Sunday Mtatiro Zinadai , Julius Mtatiro ameona ni Bora Kuunga Mkono Juhudi za Kazi Rais Magufuli na Serikali Yake Kuliko Kuendelea Kupiga porojo Zinazokwamisha Juhudi za Kujenga Tanzania ya Viwanda .
Hivyo anatarajia Kutangaza Uamuzi wake huo wakati wowote kuanzia sasa.
Habari na Matukio inaendelea Kufuatilia Kwa Karibu tukio hilo na italiweka hadharani Muda Mfupi tu Baada ya Utekelezaji wa Kusudio hilo la Mh. Julius Mtatiro.
#STAY #TUNE.

No comments:

Post a Comment

Note: only a member of this blog may post a comment.