Sheikh Mkuu wa mkoa wa Dar, Alhaj Musa Salum amewataka Viongozi wa Dini hasa Maaskofu kuacha mara moja tabia yao ya kutumia nyumba za ibada kufanya siasa. Amesema tabia hiyo inajenga chuki isiyo na sababu kwa viongozi wa serikali.!
___
Picha hapo juu ni shekhe akihutubia katika vikao vya CCM
Source: Jamii Forums
No comments:
Post a Comment
Note: only a member of this blog may post a comment.