Mchungaji na askofu Kakobe leo kwenye mahojiano na baadhi ya wanahabari kwa njia mbalimbali amesema anawashangaa TRA kuanza kumfuata kwani utajiri wake alionadai ni wa Baba yake wa mbinguni ,hivyo waanze kumhoji Mungu kwanza maana hamaanishi utajiri wa ulimweengu huu bali anamaanisha utajiri wa ulimwengu wa roho.
TRA jamani muwe mnaenda kiustaarabu maana mtaumbuka kweupe,mtu wa dini ni vigumu kumwelewa,ukienda kichwakichwa
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Siasa Ni maisha
No comments:
Post a Comment
Note: only a member of this blog may post a comment.