
MKUU wa Mkoa wa Dar es Salaam amesema dawa ya wale wanaume wanao wapa ujauzito na kuwaachayao bila kutoa matunzo dawa yao inakuja kwani wanawake hao “Single Morther” wamekuwa wakiishi maisha ya shida.
Akizungumza leo jijini Dar es Salaam alipokuwa anakabidhi vifaa tiba kwa Hospitali zilizofanya vizuri katika zoezi la utoaji huduma bora na Wakunga walio toa huduma nzuri kwa wamama wanapojifungua.
“Wale wote wanaowapa mimba wanawake na kuwakimbia bila kuwatunza kwa kuwahudumia tutaenda nao kisheria nitafungua Ofisi pale kwangu ambazo tuta shughulika nao tu na kuwachukulia hatua kali”
Hata hivyo amesema nataka kuongeza nguvu katika usitawi wa jamii kwa kuunda kamati ya wanasheria wabobezi kwa ajili ya kuwapeleka Mahakamani wanaume wanao telekeza familia.
Aidha amesema kipindi hiki kumekua na ongezeko la Ma Singel Morther na kuhakikisha hakuna Mama atakaye pata shida kwa kulea mwenyewe mtoto hivyo hao wenye tabia hizo wajiandae.
No comments:
Post a Comment
Note: only a member of this blog may post a comment.