Rais wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiangalia picha kwenye simu pamoja na Mama yake mzazi Suzana Magufuli. Wengine ni mdogo wake Monica wa kwanza (kushoto), na Dada yake Asteria wa kwanza (kulia). Rais Dkt. Magufuli yupo mapumzikoni katika Kijiji cha Lubambangwe Chato Mkoani Geita. Picha/Ikulu, Tanzania
No comments:
Post a Comment
Note: only a member of this blog may post a comment.
No comments:
Post a Comment
Note: only a member of this blog may post a comment.