MUGABE AWATOLEA UVIVU MAAFISA WA JESHI - Siasa News

Breaking

Siasa ni Maisha

Friday, 17 November 2017

MUGABE AWATOLEA UVIVU MAAFISA WA JESHI

Rais wa Zimbabwe Robert Mugabe amegomea upatanishi na kusema atabakia kuwa mtawala pekee halali wa taifa hilo.

Amegomea mazungumzo yaliyoendeshwa na padri wa kanisa katoliki nchini humo Fidelis Mukonoli ya kuruhusu yeye kuondoka kwa amani

Ripoti za kijasusi za zinasema Makamu wa Rais ambye pia alikuwa mkuu wa usalama wa taifa Emmerson Mnangagwa alikuwa akifanya mipango na jeshi na upande wa upinzani kwa zaidi ya mwaka mmoja wa namna ya kumuondoa Mugabe
Kurejea kwa kiongozi wa Upinzani Morgan Tsvangirai ambaye alikuwa akipata matibabu nchini Uingereza na Afrika Kusini jana kumechochea minong'ono kuwa huenda mipango hiyo ikafanikiwa

No comments:

Post a Comment

Note: only a member of this blog may post a comment.