LAWRENCE MASHA ATAJA SABABU TANO ZA KUJIVUA UANACHAMA CHADEMA - Siasa News

Breaking

Siasa ni Maisha

Tuesday, 14 November 2017

LAWRENCE MASHA ATAJA SABABU TANO ZA KUJIVUA UANACHAMA CHADEMA





Waziri wa zamani wa Mambo ya Ndani, Lawrence Masha. Waziri wa zamani wa Mambo ya Ndani, Lawrence Masha leo jumanne amejivua uanachama wa CHADEMA akidai upinzani hauna nia ya kutafuta fursa ya kuunda Serikali. Masha amekitumikia chama cha Chadema kwa miaka miwili akitokea Chama cha Mapinduzi (CCM). Soma hapa barua ya Masha,ambayo imeambatana na sababu 5 za kujivua uanachama wa Chadema.

No comments:

Post a Comment

Note: only a member of this blog may post a comment.