Ngome ya CHADEMA inayotumika kuratibu Kampeni za Uchaguzi wa Udiwani katika Kata ya Kitwiru jimboni Iringa Mjini, muda huu wa saa 4.00 asubuhi imevamiwa na watu wasiojulikana wakiwa na bastola tatu pamoja na magari mawili aina ya saloon zenye rangi nyeusi na nyeupe moja ina namba T 311 DHD na kuondoka na Mwana CHADEMA mmoja aliyejulikana kwa jina la Linus na kuondoka naye na mpaka sasa haijulikani walipoelekea.
BREAKING NEWS:
KIMENUKA KWA PETER
MSIGWA NGOME YA
CHADEMA IRINGA
YAVAMIWA NA WATU
WENYE SILAHA

Ngome ya CHADEMA inayotumika kuratibu Kampeni za Uchaguzi wa Udiwani katika Kata ya Kitwiru jimboni Iringa Mjini, muda huu wa saa 4.00 asubuhi imevamiwa na watu wasiojulikana wakiwa na bastola tatu pamoja na magari mawili aina ya saloon zenye rangi nyeusi na nyeupe moja ina namba T 311 DHD na kuondoka na Mwana CHADEMA mmoja aliyejulikana kwa jina la Linus na kuondoka naye na mpaka sasa haijulikani walipoelekea.
Ngome ya CHADEMA inayotumika kuratibu Kampeni za Uchaguzi wa Udiwani katika Kata ya Kitwiru jimboni Iringa Mjini, muda huu wa saa 4.00 asubuhi imevamiwa na watu wasiojulikana wakiwa na bastola tatu pamoja na magari mawili aina ya saloon zenye rangi nyeusi na nyeupe moja ina namba T 311 DHD na kuondoka na Mwana CHADEMA mmoja aliyejulikana kwa jina la Linus na kuondoka naye na mpaka sasa haijulikani walipoelekea.
No comments:
Post a Comment
Note: only a member of this blog may post a comment.