Wabunge na Madiwani wanaohama vyama wanafikiri kabla ya kufanya maamuzi?? - Siasa News

Breaking

Siasa ni Maisha

Sunday, 16 September 2018

Wabunge na Madiwani wanaohama vyama wanafikiri kabla ya kufanya maamuzi??

Unaweza kutoa maoni gani kuhusiana na chaguzi zinazoendelea hivi kwa sasa hapa nchini kwetu?? Je hizi chaguzi Zina Tija kwa maendeleo ya Watanzania kwa ujumla??
Je Hawa viongozi wanapenda kuhama hama vyama hususani wabunge na madiwani wanafikiria kwa kina zaidi kabla ya kufanya maauzi hayo na Je huwa  wanafikiria ni kiasi gani serikali inapata hasara kutokana na maamuzi wanayo yafanya??
Wananchi wanafikiria Nini ?? Kuhusu siasa zinazoendelea hapa Tanzania ??
Nini maoni yako

No comments:

Post a Comment

Note: only a member of this blog may post a comment.