Rais Magufuli atangaza vita na Video Queens wa Bongoflava, wavaa nusu uchi kwenye tv - Siasa News

Breaking

Siasa ni Maisha

Tuesday, 12 December 2017

Rais Magufuli atangaza vita na Video Queens wa Bongoflava, wavaa nusu uchi kwenye tv

Rais Magufuli akemea wasanii wa Tanzania wanaocheza utupu kwenye video za muziki. - Ahoji. “Kwanini uwavulie wengine wasiopenda kutazama uchi?” - Ataka mamlaka kuvichukulia hatua vituo vya TV vinavyoonesha muziki wa aina hiyo

''Kwanini wacheze wakionesha uchi wao kwa watu wasiotaka kuona tena kwa wakati usio mwafaka? TCRA wako kimya na wizara inayohusika iko kimya''

No comments:

Post a Comment

Note: only a member of this blog may post a comment.