MSANII RICHARD MASELE ACHAGULIWA KUWA KATIBU WA SIASA,ITIKADI NA UENEZI CCM MKOA WA SHINYANGA - Siasa News

Breaking

Siasa ni Maisha

Thursday, 7 December 2017

MSANII RICHARD MASELE ACHAGULIWA KUWA KATIBU WA SIASA,ITIKADI NA UENEZI CCM MKOA WA SHINYANGA



Msanii Richard Masele amechaguliwa kuwa Katibu wa itikadi,siasa na uenezi Chama Chama Mapinduzi mkoa wa Shinyanga.
Nafasi ya Msanii Richard Masele ilikuwa inashikiliwa na Emmanuel Stephen Mlimandago ambaye pia alikuwa miongoni mwa wagombea katika uchaguzi uliofanyika Disemba 5,2017.

No comments:

Post a Comment

Note: only a member of this blog may post a comment.