Wakati vuguvugu la Wabunge kujivua ubunge na kuhama chama likipamba moto,Mbunge wa Momba (Chadema), David Silinde amesema endapo akihama chama hicho basi wananchi wajitokeze kuchoma moto nyumba yake pamoja na mali zake. Akizungumza baada ya kusambaa kwa taarifa za kutaka kukihama chama hicho Silinde amesema ubunge wa jimbo hilo aliutafuta kwa gharama kubwa akidai kuwa uzushi huo umesambaa lakini hauna ukweli wowote. “Wamesambaza uzushi huu baada ya mimi kuandika katika mitandao ya kijamii kuwa unapopigana vita unahitaji jeshi dogo lenye weledi, yaani unaweza kuwa na idadi kubwa ya wanachama lakini wakawa wasaliti.”Amesema Silinde.
Amesema wapo watu waliopigania ushindi awe mwakilishi wao bungeni huku baadhi kupoteza maisha, kufilisika, kufungwa jela hivyo hawezi kuwasalit
No comments:
Post a Comment
Note: only a member of this blog may post a comment.