Chadema Yatoa Taarifa Kuhusu Mnyika Kuhamia CCM - Siasa News

Breaking

Siasa ni Maisha

Monday, 4 December 2017

Chadema Yatoa Taarifa Kuhusu Mnyika Kuhamia CCM


Kuna Taarifa zinasambazwa mitandaoni ya kuwa Mhe. John Mnyika, Mbunge wa Kibamba amejivua uanachama wa CHADEMA. Taarifa hizo ni za uongo na hazina ukweli wowote, ni za kupuuzwa, wanaozisambaza ni wale walioishiwa hoja na majibu juu ya hali ya maisha ya Watanzania.


No comments:

Post a Comment

Note: only a member of this blog may post a comment.