Breaking News: Babu Seya, Papii Kocha waachiwa kwa Msamaha wa Rais Magufuli - Siasa News

Breaking

Siasa ni Maisha

Saturday, 9 December 2017

Breaking News: Babu Seya, Papii Kocha waachiwa kwa Msamaha wa Rais Magufuli

Habari zilizotufikia hivi punde zinasema Rais John Magufuli akiwa kwenye kilele cha miaka 56 ya Uhuru amesamehe wafungwa waliohukumiwa kwa vifungo mbalimbali na kunyongwa. Miongoni mwa waliosamehewa ni wanamuziki maarafu Kama Babu Seya na Papii Kocha ambao waliohukumiwa kifungo Cha maisha gerezeni kwa kosa la kubaka na kulawiti watoto.

Source: JamiiForums

No comments:

Post a Comment

Note: only a member of this blog may post a comment.