Agizo la Kigwangalla baada ya kufanya ziara ya kushtukiza bandarini - Siasa News

Breaking

Siasa ni Maisha

Saturday, 2 December 2017

Agizo la Kigwangalla baada ya kufanya ziara ya kushtukiza bandarini



December 2, 2017 Waziri wa Maliasili na Utalii, Dkt. Hamisi Kigwangalla, alifanya ziara ya kushtukiza katika bandari ya Dar es Salaam ambapo ameagiza Katibu Mkuu wa Maliasili na Utalii atangaze kujitokeza kwa wamiliki wa magogo 938 yaliyokaa bandarini kwa zaidi ya miaka 10. Kama wamiliki wasipojitokeza, magogo hayo yatakuwa mali ya Serikali

No comments:

Post a Comment

Note: only a member of this blog may post a comment.