Wizara: Ni sahihi kuchoma vifaranga na utaratibu unatambulika kimataifa, yarusha lawama kwa waliosambaza picha - Siasa News

Breaking

Siasa ni Maisha

Thursday, 2 November 2017

Wizara: Ni sahihi kuchoma vifaranga na utaratibu unatambulika kimataifa, yarusha lawama kwa waliosambaza picha

Wizara ya mifugo na uvuvi imetetea uamuzi wa kuchoma vifaranga kwani ni utaratibu unaotambulika kimataifa na kwa mujibu wa sheria namba 17 ya sheria ya wanyama ya mwaka 2003 imechukua uamuzi huo wa kuteketeza vifaranga hivyo 6400 ili kuepusha kusambaza mafua ya ndege.


No comments:

Post a Comment

Note: only a member of this blog may post a comment.