#HABARI Zaidi ya hekari 263 za mashamba ya bangi, magunia 262 ya bangi kavu na kilo 75 za mbegu za bangi ambazo zilizoandaliwa kupandwa zimekamatwa Tarime mkoani Mara.
Toa maoni yako
No comments:
Post a Comment
Note: only a member of this blog may post a comment.
No comments:
Post a Comment
Note: only a member of this blog may post a comment.