VIJANA WA CCM WAVAMIA MKUTANO WA CHADEMA NA MAPANGA - Siasa News

Breaking

Siasa ni Maisha

Friday, 24 November 2017

VIJANA WA CCM WAVAMIA MKUTANO WA CHADEMA NA MAPANGA

Vijana wa ccm wakiwa na mapanga wavamia mkutano wa kampeni wa Chadema katika kata ya mbweni jimbo la kawe watu kadhaa wamejeruhiwa vibaya sana walikuwa wanamtaka Halima Mdee ambae alikuwa anahutubia ila vijana wamemlinda.
Image may contain: 2 people, outdoor

No comments:

Post a Comment

Note: only a member of this blog may post a comment.