TSUNAMI INAKUJA 2020 - Siasa News

Breaking

Siasa ni Maisha

Wednesday, 29 November 2017

TSUNAMI INAKUJA 2020



Picha
Hawa ndio polisi wasiopungua 50,waliotumwa kutoka makao #makuu ya mkoa morogoro kwenda kusimamia uchaguzi wa #KATA ya sofi wilayani malinyi,na hatimae walichokitaka walifanikiwa na kuondoka na baadhi ya vijana wa chadema waliodai kwamba nguvu kubwa kutoka mkoani ilikuja kutumika kuiba kura ndani ya Kata yao.
ni,
Nini maoni yako kuhusiana na democrasia hii tuliyonayo hapa Tz.

No comments:

Post a Comment

Note: only a member of this blog may post a comment.