Mbunge wa Mtama Nape Nnauye akiwa anahojiwa na DW amesema kitendo cha rais Magufuli kusema watu wa Mwanza wasibomolewe kwa kuwa walimpa kura ilikuwa ni utani sababu rais ni mtu anayependa kutania
Amesema pia ameshangazwa na bomoabomoa iliyofanywa kwa wananchi ambao serikali ilikuwa imewarhusu kujenga na kusema jambo hilo halifai
Ameseendelea kusema pia hana mpango wa kuhama CCM lakini hawezi kuapa kama hatahama chama hicho
No comments:
Post a Comment
Note: only a member of this blog may post a comment.