MLIPUKO WA BOMU WAUA WANAFUNZI 9 NA 25 MAJERUHI, MKOANI KAGERA - Siasa News

Breaking

Siasa ni Maisha

Wednesday, 8 November 2017

MLIPUKO WA BOMU WAUA WANAFUNZI 9 NA 25 MAJERUHI, MKOANI KAGERA




Idadi ya wanafunzi wa Shule ya Msingi Kihinga wilayani Ngara mkoani Kagera waliofariki kutokana na mlipuko wa bomu imeongezeka na kufikia 9 huku waliojeruhiwa wakiwa 25.

No comments:

Post a Comment

Note: only a member of this blog may post a comment.