Wabunge wanane waliochaguliwa na alhaji. Jana baada ya kutoka maamuzi ya zuio la mahakama kuu kanda ya daresalaam walijikuta wakiingia tafrani baada ya kumpigia simu zaidi ya mara kumi mwenyekiti wao alhaji lipumba ziliita bila ya kupokelewa.
Lipumba baada ya kuzidi kila wakati anapigiwa simu ndipo alipoizima ili kuepusha usumbufu. Mtoa habari wetu wa buguruni alieleza baada ya kutopokelewa simu zao. Mmoja ya wabunge hao alimpigia simu mganga wake ili kujua hatma yao mganga huyo nae hakupokea simu wala kujibu sms akizotumiwa na mbunge huyo mpaka muda huu.
Kwa sasa wabunge hao wamekuwa kama watoto yatima wamekuwa wakishinda nje ya nyumba ya geti la spika ili angalau waonewe huruma lakini wamejikuta wakipuuzwa kila wanalolifanya.
No comments:
Post a Comment
Note: only a member of this blog may post a comment.