KENYATA AKUTANA NA ODINGA KANISANI - Siasa News

Breaking

Siasa ni Maisha

Sunday, 5 November 2017

KENYATA AKUTANA NA ODINGA KANISANI

Rais wa Kenya Uhuru Kenyatta na kiongozi wa upinzani Raila Odinga walipokutana katika kanisa la Kiangilikana la All Saints jijini Nairobi.
Kanisa hilo lilikuwa linasherehekea miaka 100 tangu kuanzishwa kwake.
Bw Odinga alisusia uchaguzi wa marudio uliofanyika 26 Oktoba na amesema hatambui ushindi wa Bw Kenya.
Amegeuza muungano wake wa Nasa kuwa kundi la pingamizi dhidi ya serikali.
Image may contain: 9 people, people smiling, people standing, suit, wedding and indoor

No comments:

Post a Comment

Note: only a member of this blog may post a comment.