
Meya wa ubungo Bonifae Jacob
By Boniface Jacob
MASHUJAA WA KATA YA SARANGA TUPO HURU
Leo tumefanikiwa Kutoka Nje Makamanda wote tuliokamatwa siku ya Jumapili,ili kupisha Wizi wa Kura kata ya Saranga.
Kwakuwa walitutoa Golini wapige penati bila kipa,Ni dhahiri kuwa Wanatuogopa,
1.Wakamuengua Diwani wetu mpaka NEC walipomrudisha baada ya wiki Mbili.
2.Wakatuzuia Kampeni kwa wiki yote ya Mwisho,Mikutano na Vikao Vya ndani ikawa ni Marufuku.
3.Wakagoma kutupatia fomu za mawakala,ili wasiingie vituoni Jumapili,Kwa Mkurugenzi kukimbia na kuzima simu mpaka jumapili asubuhi alipopatikana.
4.Wakamalizia kunikamata Mimi na Viongozi wangu wa Chama,pamoja na mawakala.
Shukrani za Pekee ziende kwa The best Activist Lawyer
*ALEX MASSABA*
*ALEX MASSABA*
Mungu Yupo pamoja Nasi.Tutashinda

Meya wa Ubungo Boniface akiwa na wananchii wa kata ya Saranga

Meya wa Ubungo Boniface akiwa na wananchii wa kata ya Saranga
No comments:
Post a Comment
Note: only a member of this blog may post a comment.