CCM ilimvua uanachama Nyalandu, Spika Ndugai athibitisha - Siasa News

Breaking

Siasa ni Maisha

Wednesday, 1 November 2017

CCM ilimvua uanachama Nyalandu, Spika Ndugai athibitisha



sema hatua hiyo inafuatia katibu mkuu wa CCM kuiandikia ofisi ya Bunge barua ikimualifu kwa muda CCM ilishaanza kumchukulia hatua kiudhibiti na kinidhamu dhidi ya vitendo na kauli za Nyalandu zisizoridhisha kinyume na misingi, falsafa na itikadi ya chama hicho.

Hivyo kuanzia tarehe ya barua hiyo ya Oktoba 30, 2017 Nyalandu amepoteza sifa za uanachama wa CCM na kupoteza nafasi zote za uongozi wa ndani wa chama hicho na ubunge kwa mujibu wa ibara ya 13 ya CCM.


Hatua hiyo inafuatia baada ya hivi karibuni Nyalandu kutangaza kujiuzulu ubunge na kung’atuka CCM

No comments:

Post a Comment

Note: only a member of this blog may post a comment.