BREAKING NEWS: TAARIFA KUTOKA IKULU MCHANA HUU, KATIBU MKUU ABDULRAHMAN KINANA … - Siasa News

Breaking

Siasa ni Maisha

Monday, 20 November 2017

BREAKING NEWS: TAARIFA KUTOKA IKULU MCHANA HUU, KATIBU MKUU ABDULRAHMAN KINANA …





IKULU, DAR: Chama cha Mapinduzi (CCM) leo kimeanza rasmi kikao cha Kamati Kuu ya chama hicho kinachoongozwa na Mwenyekiti wake Rais John Pombe Magufuli na Katibu Mkuu, Abdulrahman Kinana. CCM kupitia Kamati kuu (CC) imefanya uteuzi wa wagombea walioomba kuwania nafasi ya Uenyekiti kichama.




No comments:

Post a Comment

Note: only a member of this blog may post a comment.