BERNADI MEMBE KUZUNGUZA NA VYOMBO VYA HABARI - Siasa News

Breaking

Siasa ni Maisha

Wednesday, 1 November 2017

BERNADI MEMBE KUZUNGUZA NA VYOMBO VYA HABARI


Image may contain: 2 people, suit

Bernadi atazungumza na vyombo vya habari leo hii, saa 4:30 asubuhi aliyekuwa Waziri wa mambo ya nje na ushirikiano wa kimataifa Ndugu Bernard Kamillius #Membe atafanya mkutano na vyombo vya habari.
Mkutano huo utafanyika nyumbani kwake katika kijiji cha Rondo mkoa wa Lindi. Ndugu Bernard Kamillius Membe atakuwa pamoja na baadhi ya viongozi waandamizi kutoka Chama Cha Mapinduzi.
Mkutano huu utarushwa mubashara na kituo cha televisheni cha ITV pamoja na kituo cha redio cha Lindi FM.
Wote mnakaribishwa!

No comments:

Post a Comment

Note: only a member of this blog may post a comment.